Advertisements

Saturday, June 22, 2019

KUMBUKUMBU


ina:Edmund Lawrence Mushi
Maelezo,Kuzaliwa:07/12/1973
Kufariki:22/06/2015Leo tarehe 22/06/2019 umetimiza miaka minne tangu ututoke,Unakumbukwa na watoto wako Luis(Anwary) na Jermaine,Unakumbukwa na Baba yako mzazi Mzee Lawrence Mushi(Kimbori).Pia unakumbukwa na wadogo zako 

Rudolf(Dofu),Claudia,Gaudence,Fulgence,Renatus(Kulwa),Martha(Manka/Dotto) na Maria(Mkakeni),Unakumbukwa pia na ukoo wote wa Kimbori na Massawe,Pamoja na Ndugu jamaa na Marafiki,Pia Unakumbukwa na Tanzania Houston Community(THC) in Houston-Texas.Pumzika Kwa Amani Kaka Yetu Edmund.


Bwana Alitoa,Bwana Ametwaa jina lake Lihimidiwe.
Amen


No comments: