Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizumgumza na wawakilishi wa Mashirika, Taasisi na Makampuni yanayodaiwa Kodi ya Ardhi wakati wa kikao kilichofanyika leo tarehe 11 Juni 2019 katika ukumbi wa HAZINA Dodoma
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionesha Hati ya Umiliki wa Ardhi (Kulia) na Hati ya Kielektronik ya Umiliki wa Ardhi ambayo imeanza kutolewa katika wilaya za Ubungo na Kinondoni Dar es Salaam wakati wa kikao na Mashirika, Taasisi na Makampuni yanayodaiwa Kodi ya Pango la Ardhi kilichofanyika leo tarehe 11 Juni 2019 katika ukumbi wa HAZINA Dodoma.
No comments:
Post a Comment