LIVE: Mkutano wa Wasanii , Waziri wa Habari na Waziri wa Viwannda Nchini
LIVE: Wasanii Kulipwa Kila Sanaa yao inapotumika
Mkutano wa Wasanii wa sekta zote za sanaa nchini, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara, unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC) Dar es Salaam.
Waazimia Kuunganisha COSOTA, BASATA na BODI YA FILAMU na kuunda chombo kimoja.
*Msanii atalipwa 60% kwenye mlio wa simu.
*Leo 28/8/2019 ni Mwisho mtu kutumia kazi ya sanaa bila kulipia chochote. Kwenye Kumbi za Harusi, Kitchen Part, Muziki nk
No comments:
Post a Comment