Tumsifu Yesu Kristo, karibu katika misa ya kila mwezi ya wakatoliki wa DMV na wakatoliki wote wageni wa DMV. Mwezi huu wa septemba, tutakuwa na misa Jumapili Septemba 29, 2019 kuanzia saa nane kamili.
Tunawaomba waumini wote tujitokeze kwa wingi kwa ajili ya Ibaada ya siku hiyo.
No comments:
Post a Comment