KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera leo Jumanne 5, 2019 ameondolewa ndani ya kikosi cha Yanga na benchi zima la ufundi kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri ndani ya kikosi hicho.
Kocha anayechukua nafasi ya Zahera ni aliyekuwa Katibu Mkuu Klabu hiyo, Boniface Mkwasa
No comments:
Post a Comment