Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yakub Mohamed baada ya
kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akikata utepe kuashiria mwanzo wa ujenzi wa Uwanja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akiongea machache baada ya kuweka jiwe la Msingi
la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Kijiji cha Chimilolo alipotoka katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la
Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakisikiliza maelezo toka kwa Mhandisi Kanali Zabron Mahenge akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019.
No comments:
Post a Comment