Msanii Rajabu Abduli maarufu kama "Harmonize" akitumbuizakatika kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019
Msanii Rajabu Abduli maarufu kama "Harmonize" akitumbuizakatika kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara akicheza ngoma na wacheza ngoma ya Litungu ya kabila la Wakurya waliokuwa wakitumbuiza kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019

No comments:
Post a Comment