Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli Iddi Kimanta (kushoto) alipowasilini Wilayani humo kutembelea Chuo cha Maendeleo ya Jamii Monduli.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu(kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Tunahaki Bi. Christina Kami (kushoto) wakati alipotembelea kujionea shughuli zinazofanywa na kikundi hicho kilichopo wilayani Monduli mkoani Arusha.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (kushoto) akipokea zawadi ya picha yake kutoka kwa Mkufunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Monduli Bi. Mariah Lashau (kulia) wakati alipotembelea Kituo cha ubunifu cha kidijitali cha Chuo hicho.
No comments:
Post a Comment