Advertisements

Friday, February 21, 2020

Daktari Asema Corona Haiwezi Kuishi Kwenye Damu ya Mwafrika

CORONAVIRUSES (CoV) ni virusi vinavosababisha mafua na ugonjwa unaoathiri mfumo wa hewa wa Middle East Respiratory Syndrome (MERS-CoV) na Severe Acute Respiratory Syndrome (SARS-CoV). Coronavirus (nCoV) ni virusi vipya ambavyo vilikuwa havifahamiki kwa binadamu.

Senou ni mwanafunzi wa Cameroon aliyeko China aliyekumbwa na Coronavirus lakini aliondoka hospitalini akiwa ameponyeshwa kabisa janga la virusi hivyo. Madaktari wanaotafuta tiba ya virusi hivyo walishangaa kumwona Senou akiwa mzima licha ya virusi hivyo kuua watu 1,112 tangu ulipoanza huko Wuhan zaidi ya mwezi mmoja.

Madaktari hao walithibisha kwamba Senou aliendelea kuishi kutokana na nguvu ya asili ya muundo chembe za damu ambayo hupatikana kwa Waafrika walioko kusini mwa Jangwa la Sahara.

Pia madaktari wa China wamesema mtu huyo aliendelea kuishi kutokana na ngozi yake ya rangi nyeusi ambapo kinga ya mwili ya mtu mweusi ina nguvu mara tatu ikilinganishwa na ngozi nyeupe.

“Watu weupe wanaipiga vita rangi nyeusi kwa vile ina ulinzi mkubwa dhidi ya magonjwa wanayopanga na kuturushia, jambo linaloonyesha kwamba mtu mweusi hawezi kuangamizwa. Miili yetu ina vitu vyote vya asili vinavyotawala dunia hii. Sisi ni wamiliki wa ulimwengu huu, hivyo (watu weupe) hawawezi kutuangamiza,” anasema daktari mmoja kutoka Afrika kuhusiana na jambo hilo.

No comments: