Advertisements

Wednesday, February 19, 2020

Naibu Waziri wa Madini afanya mkutano na Wahariri wa Vyombo vya habari

Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (hawapo pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23, 2020.
Baadhi ya Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23, 2020.

No comments: