Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma Jumatano Julai 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma Jumatano Julai 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wakati wa uzinduzi hafla ya Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma Jumatano Julai 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo wakati akikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma Jumatano Julai 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma Jumatano Julai 22, 2020
Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma Jumatano Julai 22, 2020
No comments:
Post a Comment