Advertisements

Wednesday, December 2, 2020

MAAFISA HABARI WA BUNGE WAPATIWA MAFUNZO YA KUWAONGEZEA UFANISI KATIKA KAZ

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Daniel Eliufoo (kushoto) afungua mafunzo kwa Maafisa wa Habari wa Bunge na Itifaki yatakayofanyika kwa siku nne katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. 
Maafisa Habari wa Bunge wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizowasilishwa na
wawezeshaji katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam Dkt. RoseMarie Mwaipopo akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa waandishi wa Habari wa Bunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dkt. Dietrick Kaijanangoma akiwasilisha mada ya namna bora ya kuandika Habari za kitasisi kwa Maafisa Habari wa Bunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

No comments: