Advertisements

Wednesday, January 20, 2021

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI BUKOBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya kuzungumza nao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya kuzungumza nao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba iliyopo Bukoba mjini mkoani Kagera muda mfupi mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mkataba wa makubaliano kati ya Serikali na Kampuni ya LZ Nickel limited leo tarehe 19 Januari 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyaka Misenyi mkoani Kagera wakati akielekea Wilayani Karagwe.
Sehemu ya Wananchi wa Kyaka Wilayani Misenyi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama kuwasalimia leo tarehe 19 Januari 2021

No comments: