Advertisements

Monday, January 18, 2021

RAIS DKT. MAGUFUL:I AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA MADARASA YA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA YA IHUNGO MJINI BUKOBA, MKOA WA KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera. Kushoto ni Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Majengo Mapya ya Shule hiyo ya Ihungo Sekondari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo, Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti wakati akikata utepe kufungua Majengo mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari Ihungo ambayo iliathiriwa vibaya na tetemeko la Ardhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua madarasa ya Shule ya Sekondari ya Ihungo ambayo ilijengwa upya mara baada ya tetemeko la ardhi lililotokea mwaka 2016 mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Uingereza hapa nchini
David Concar alipomaliza kuongea na wananchi baada ya kufungua Majengo
ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo
iliyopo Bukoba mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa din i alipomaliza kuongea na
wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya
Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akipungia mkono mamia ya wananchi baada ya kufungua
Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya
Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea na wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya
madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba
mkoani Kagera.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali
Marco Gaguti na Naibui Waziri wa Nishati na Mbunge wa Kigoma Mjini
Mhe. Stephen Byabato baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya
Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera.

PICHA NA IKULU

No comments: