Theluji iliyodondokasiku ya Jumapili Januari 31, 2021 katika majimbo yaliyopo pwani ya Marekabi ya Mashariki kuanzia inchi 8 mpaka 22 na kusababisha watuamiaji wa vyombo vya moto kuwa na wakati mgumu huku wengine wakiathirikakwa kukosa umememajumbani kwao.
Baadhi ya barabara zikionekana namna hii
No comments:
Post a Comment