Jacqueline Adoko na Janitha Rippy wanasikitika kutangaza msiba wa Mama yao mzazi (Grace Rogers Machimo) uliotokea lApril 21, 2021 katika Hospital ya Fredrick Memorial, Maryland.
Kama ilivyo kawaida kupeana pole ndio mila na desturi yetu. Familia inapanga kumsafirisha mpendwa mama yao nyumbani Tanzania na kumpumzisha katika nyumba yake ya Milele.🏽
Unaweza kuwashika mkono wafiwa kupitia
Zelle - Berdina Massawe ( 470-892-8454) or email mjuhudi@hotmail.com au
Cashapp : $Juhudi
Kwa DMV msiba upo kwa
Jacqueline Adoko.
4505 Viridian Ter
Monrovia, MD 21770
Familia inatanguliza shukurani
BWANA AMETOA,BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
Kwa maelezo zaidi na kutoa pole wasiliana na;
1. Berdina Juhudi Massawe
470-892-8454
2. Margareth Mfugale
240-455-0222
3. Salome Mollel
205-835-3404
No comments:
Post a Comment