Advertisements

Tuesday, June 22, 2021

RAIS SAMIA AENDA NCHINI MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 22,2021, alipokua akielekea Nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho.

No comments: