Waziri Mkuu, Kiassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu , Mhe. Elias Kwandikwa wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Kibaha Picha ya Ndege, Agosti 4, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu, Mhe. Elias Kwandikwa, nyumbani kwa marehemu, Kibaha Picha ya Ndege, Agosti 4, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Emmanuel Kwandikwa ambaye ni kaka wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu, Mhe. Elias Kwandikwa, nyumbani kwa marehemu, Kibaha Picha ya Ndege, Agosti 4, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment