Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Paroko Msadizi wa Parokia ya Mtakatifu Petro Osterbay – Dar es salaam marehemu
Padre Paul Haule mara alipofika kanisani hapo kushiriki ibada ya kumuaga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akitoa salamu za rambirambi za serikali kwa waombolezaji waliojitokeza katika ibada ya kumuaga marehemu Padre Paul Haule iliofanyika katika kanisa katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Osterbay
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake