Brian Haule aka Dj Ngomanagwa (kushoto na mkewe Sonya (kulia) na mtoto wao wakiwa katika picha ya pamoja na mmoja ya wageni waalikwa katika shrehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 21, 2021 katika jiji la kishua la De Moines jimbo la Iowa na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wengine wakitoka kila pembe ya Marekani.
Bwana harusi Brian Haule (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Dj Dennis Shengena na msanii wa kizazi kipya Balozi Dola siku ya Jumamosi Aug 21, 2021 katika jiji la kishua la De Moines jimbo la Iowa wakijumuika pamoja kunogesha sherehe ya harusi ya rafiki yao
Kutoka kushoto ni Dp Pfu, Tiffs, Bwn. harusi Brian Haule, Dj Musmus na mkewe Kimbley wakiwa katika picha ya pamoja.
kushoto ni Bi. harusi Sonya akiwa katika picha na familia yake
Watoto wao wakiwa katika picha ya pampja
Mitambo ya dj Dennis Skinny D ikiwa tayari kuwasha moto.
Ukuknbi umepambika kupita maelezo
Picha chini ni nyama choma Day two yote katika kusherehesha harusi ya Brian na Sonya
Kutoka kushoto ni Tiffs, Sonya na Kimbley wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake