ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 19, 2021

MCHAMBUZI NGULI WA SOKA NCHINI, MWALIMU KASHASHA AFARIKI DUNIA

Mwalimu Alex Kashsha enzi ya uhai wake

Mchambuzi nguli wa soka nchini, Mwalimu Alex Kashasha amefariki Dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Kairuki Jijini Dar es Salaam.

Kashasha alikuwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hasi umauti ulipomfika, 

Marehemu atakumbukwa kwa jinsi alivyokua akiuchambua mpira hususani jinsi magoli yalivykua yakifungwa

No comments: