ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 5, 2021

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang (kulia) walipokutana Tehran nchini Iran, Agosti 4, 2021 katika uapisho wa Rais mpya wa nchini Iran, Mhe. Ebrahim Raisi, Spika Ndugai alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika uapisho huo

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments: