Kushoto ni Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Mhe,Gastorn Kennedy pamoja nae ni Mwambata wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York Brigedia Jenerali George Itang'are wakiangalia moja ya vibanda vya wajasiliamali siku ya tamasha kubwa la Wakanda lililofanyika Mt. Vernon, New York katika kutangaza utamaduni wa Tanzania, Afrika zikiwemo mila na tamaduni za Mwafrika.
Kulia ni Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Mhe,Gastorn Kennedy pamoja nae ni Mwambata wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York Brigedia Jenerali George Itang'are wakitembelea vibanda vya wajasiliamali siku ya Tamasha la Wakanda.
akushoto ni Shawyn Patterson-Howard Meya wa Mt. Vernon, Rose Luangisa na Balozi wa kudumu Umoja wa Mataifa New York Mhe. Gastorn Kennedy wakiwa katika picha ya pamoja
Nyama choma kwa wingi,
Wahudhuriaji wakiwa katika picha ya pamoja
Tamasha la Wakanda likiendelea
Mambo ya Wakanda Celebration
No comments:
Post a Comment