ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 10, 2021

KIJIWE MADA MOTO HADHI MAALUM / URAIA PACHA KURUKA LIVE JUMAMOSI

Kilimanjaro Studio Jumamosi hii Sept 11, 2021 itakuletea ELIMU NA UMUHIMU wa swala zima la Hadhi maalumu / Uraia pacha, kutakuwa na wachangiaji *WABOBEZI* kutoka USA, CANADA, EUROPE NA TANZANIA.

Ni Jumamosi saa 4 asubuhi (10am EST/ 9 C/7 P) kwa saa za USA, CANADA ni 10am, UK itakuwa 3pm, nchini nyingine EUROPE itakuwa 4pm, Tanzania itakuwa saa 11 jioni (5pm).

Kipindi kitakuwa LIVE kupitia YouTube na muongozaji wa MADA na mtayarishaji wa kipindi ni Mubelwa Bandio.

Tutakua na Raia wa Kenya mwenye Raia pacha ataelezea katika Raia Pacha yao nini wanafaidika na nini hawafaidiki nayo USIKOSE

Karibu usikilize unachokijua na usichokujua  kuhusiana na HADHI MAALUMU / URAIA PACHA
Hapo chini ni Link itakayoruka LIVE Jumamosi karibu KWA AFYA YA DIASPORA

No comments: