Thursday, September 2, 2021

NEMC YASHIRIKI KATIKA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA ILIYOFANYIKA JIJINI DODOMA

Sehemu ya Wahandisi wa fani mbalimbali kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania mwaka 2021 uliofanyika jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Profesa Mhandisi Esnat Chaggu akifuatilia jambo kwa umakini wakati wa Mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania mwaka 2021 uliofanyika jijini Dodoma.
Sehemu ya Wahandisi kutoka sehemu mbalimbali Tanzania wakifuatilia mada mbalimbali zilizokua zikitolewa katika Mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania mwaka 2021 uliofanyika jijini Dodoma.
Baadhi ya Wananchi waliotembelea katika banda la maonyesho la NEMC katika viwanja vya J.K Nyerere wakati wa madhimisho ya siku ya Wahandisi Tanzania yaliofanyika jijini Dodoma.


 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake