Advertisements

Tuesday, September 28, 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA IKULU CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki hiyo Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 28,2021. PICHA NA IKULU.

No comments: