Sunday, April 17, 2022

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA PASAKA JIJINI DODOMA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiongozana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 17 Aprili 2022 wameshiriki ibada ya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa katoliki Parokia ya Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma.
Ibada hiyo imeongozwa na Padri Gilbert Magidale.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake