
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linachunguza kwa kina tukio la kifo cha Padri wa Kanisa Katoriki, Patrick Francis Kangwa (49) aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano iliyopo wilaya ya Ubungo.
Hayo yamesemwa jana na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Jumanne Muliro.
Tukio hilo lilitokea tarehe 15/04/2022, mwili wake ulikutwa katika Tenki la Maji lililopo Mtaa wa Sokoine Jengo la Ottman jijini Dar es Salaam katika makazi ya mapadiri.

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake