Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Maria Nyerere akifuatilia vichekesho vya mchekeshaji Oscar Nyerere ambaye hujulikana kwa kuiga sauti za viongozi ikiwemo sauti ya Hayati Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. Hii ni kwenye hafla ya kukumbuka miaka 100 tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozaliwa. Mwalimu alizaliwa Aprili 13 mwaka 1922 Butiama mkoani Mara. Maadhimisho haya yanafanyika Msasani kwa Mwalimu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana wakifurahia vichekesho vya mchekeshaji Oscar Nyerere.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana wakifurahia vichekesho vya mchekeshaji Oscar Nyerere.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dokta Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Maria Nyerere kwenye hafla ya kukumbuka miaka 100 tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozaliwa. Mwalimu alizaliwa Aprili 13 mwaka 1922 Butiama mkoani Mara. Maadhimisho haya yanafanyika Msasani kwa Mwalimu jijini Dar es Salaam
Mchekeshaji Oscar Nyerere ambaye hujulikana kwa kuiga sauti za viongozi ikiwemo sauti ya Hayati Mwalimu Julias Kambarage Nyerere, akiwa kwenye hafla ya kukumbuka miaka 100 tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozaliwa. Mwalimu alizaliwa Aprili 13 mwaka 1922 Butiama mkoani Mara. Maadhimisho haya yanafanyika Msasani kwa Mwalimu jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dokta Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Mariam wakipatiwa maelezo kuhusu Maktaba ndogo nyumbani kwa hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Msasani jijini Dar es Salaam.
Dokta Mwinyi akiwasili nyumbani kwa hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Msasani jijini Dar es Salaam.








No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake