Saturday, April 23, 2022

CHONGOLO APIGA KURA KUCHAGUA KIONGOZI WA SHINA KILIMANI DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akipiga kura ya kuchagua Uongozi wa CCM Shina namba 5,Tawi la Kilimani, Kata ya Kilimani, Dodoma.(Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiwa amejumuika na wanachama wa Shina namba 5 kwa ajili ya kuchagua Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Shina, Tawi la Kilimani, Kata ya Kilimani, Dodoma.(Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na baadhi ya wanachama wa Shina namba 5 akiwemo Katibu wa NEC,Idara ya Oganaizesheni ya CCM Dkt. Moudline Cyrus Castico wakati wa uchaguzi wa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Shina, Tawi la Kilimani, Kata ya Kilimani, Dodoma.(Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake