RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari mmoja wa Mzee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Arabia Ali Kombo, wakati wa kukabidhi sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari mmoja wa Mzee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bw. Ussi Ameir, wakati wa kukabidhi sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mmoja wa Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bw.Mohammed Abdalla, akitowa neno la shukrani, wakati wa kutoa sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumaliza kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwakibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwakibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwakibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
MMOJA wa Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bw.Ussi Ameir akisoma dua baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari, iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)







No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake