RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mbuyuni Wilaya ya Mjini Unguja Sheikh.Farid Hadi Ahmed alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-5-2024,na (kushoto kwa Rais) Ustadh Abdalla Issa na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa salamu na kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Mbuyuni Wilaya ya Mjini Unguja leo 3-5-2024
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Mbuyuni Wilaya Mjini Unguja leo 3-5-2024
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Mbuyuni Wilaya Mjini Unguja leo 3-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwac Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mbuyuni Wilaya ya Mjini Unguja leo 3-5-2024 na (kushoto kwa Rais) Imamu wa Msikiti wa Mchangani Sheikh Farid Hadi Ahmed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiondoka katika viwanja vya Msikiti wa Mbuyuni Wilaya ya Mjini Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-5-2024 na (kushoto kwa Rais) Ustadh Abdalla Issa.
No comments:
Post a Comment