Advertisements

Friday, June 21, 2024

RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAJANE AFRIKA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Maalum Rais wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar Bi. Tabia Makame, wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Maalum Rais wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar Bi. Tabia Makame, wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na Viongozi wa Jumuiya ya Wajane Afrika, wakimsikiliza Rais wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar Bi. Tabia Makame, akizungumza katika mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamakin Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia kwake) Wake wa Viongozi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika , wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit Zanzibar 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024

WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit Zanzibar 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024.

WASANII wa Kikundi cha Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakitowa burudani ya ngoma ya Kibati wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024

No comments: