Monday, July 15, 2024

RAIS DKT. SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUKWA KWA KUZINDUA HOSPITALI YA WILAYA YA NKASI ILIYOPO NAMANYERE



Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aanza Ziara ya Kikazi Mkoani Rukwa kwa kuzindua Hospitali ya Wilaya ya Nkasi iliyopo Namanyere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuzindua Hospitali Wilaya ya Nkasi tarehe 15 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Namanyere mara baada ya kuzindua Hospitali ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa tarehe 15 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Wabunge wa Mkoa wa Rukwa wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa Namanyere wakati akitoka kuzindua Hospitali ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa tarehe 15 Julai, 2024.

No comments: