Saturday, July 6, 2024

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi Wateule kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Julai , 2024. Viongozi walioapishwa ni Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yahya Ismail Samamba Katibu Mkuu Wizara ya Madini na Bw. Yusuph Juma Mwenda Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji.
Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji.
Mhe. Dkt.Selemani Saidi Jafo.
Mhe. Dkt.Selemani Saidi Jafo.
Bw. Yusuph Juma Mwenda.
Bw. Yusuph Juma Mwenda.
Mhandisi Yahya Ismail Samamba.
Mhandisi Yahya Ismail Samamba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar leo tarehe 05Julai , 2024. Viongozi hao walioapa ni: Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yahya Ismail Samamba Katibu Mkuu Wizara ya Madini na Bw. Yusuph Juma Mwenda Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Julai, 2024.

No comments: