Thursday, July 4, 2024

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WA MSUMBIJI MHE.PHILIPE NYUSI IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbuji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe.Philipe Jacinto Nyusi (kulia kwa Rais) na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya picha ya jengo la Beit Al-Jaib Zanzibar,mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe.Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024.akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika tabasamu na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe.Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024.

No comments: