Wednesday, July 17, 2024

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WABUNGE WA MAREKANI IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Marekani ukiongozwa na Mhe. Katherine Clark (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 16-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Katherine Clark, akiongoza Ujumbe wa Wabunge wa Marekani , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 16-7-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Marekani ukiongozwa na Mhe. Katherine Clark (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 16-7-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge wa Marekani Mhe.Katherine Clark, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 16-7-2024

No comments: