Friday, October 11, 2024

CLUB YA YOUNG AFRICANS YAKABIDHI CHETI TAWI LA YANGA USA

Afisa mwamashishaji wa wanachama klabu ya Yanga Jimmy Kindoki (wa nne toka kushoto) akikabidhi cheti cha utambulisho wa tawi la Yanga USA ndani ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC aliyekipokea cheti ni Afisa Ubalozi Malik Abdul(wa tatu toka kushoto) ambaye alishawahikua kiongozi wa Yanga huko nyuma. Baba Levo (kulia) na Saidi (wa kwanza kushoto) walikuwepo kushuhudia Makabidhiano hayo. 
Tawi la Yanga USA linatoa shukrani za dhati kwa uongozi kwa kulitambua rasmi tawi hilo na kwa kipekee shukurani kwako Afisa  Mwamashishaji Jimmy Kindoki kwa jitihada za makusudi ulizofanya kuhakikisha cheti hicho kinafika USA salama.
 

No comments: