Tuesday, September 24, 2024

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA OMAN


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Masuala ya Utawala na Fedha Mhe.Khalid Almuslahi, alipofika Ikulu Jijini Zanziba kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 23-9-2024. na (kulia kwake) Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Masuala ya Utawala na Fedha Mhe. Khalid Almuslahi (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 23-9-2024 na (kulia kwake) Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Masuala ya Utawala na Fedha Mhe. Khalid Almuslahi,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 23-9-2024.

No comments: