Monday, October 14, 2024

PICHA ZA MUONEKANO WA DARAJA LA JP. MAGUFULI LA KIGONGO - BUSISI


Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024. Daraja hili litafunguliwa kwa matumizi Februari 2025.

No comments: