Sunday, December 22, 2024

WAMAJUMUIYA NEW YORK WAJUMUIKA KATIKA KISOMO NA DUA KUMWOMBEA MAREHEMU BABA YAKE NY EBRA, BRONX, NEW YORK, NCHINI MAREKANI

NY Ebra akifuatilia Dua na kisomo cha mpendwa baba Yake Mzee Abdallah Nyagaly kilichofanyika siku ya Jumamosi tar ehe 21, Desemba, 2024 Bronx, New York, Mzee Abdallah Nyagaly alifikwa na umauti Desemba 13, 2024 Nachingwea, Mkoani Lindi, chini Tanzania. Picha zote na Vijimambo Blog, New York
Kushoto ni ni ustaadhi Rashid akishirikiana na Hajji Khamisi ma Mbaraka (hayupo pichani wakiongoza kisomo na dua ya kumwombea baba Yake NY Ebra kilichofanyika siku ya Jumamosi Desemba 21, 2024 Bronx, New York, Mchili Marekani.
Ustaadhi Mbaraka akishiriktanza na wenzake wakiongoza kisomo na dua.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania New York na vitongoji vyake ndugu. Gaston Mkapa akijumuika na wanajumuia wake kwenye kisomo na dua kilichofanyika siku ya Jumamosi Desemba 21, 2024, Bronx, New York, Mchili Marekani.
Picha juu na chini ni Wanajumuiya New York na vitongji voyage wakijumuika pamoja na mfiwa NY Ebra kwenye kisomo na dua kilichofanyika siku ya Jumamosi Desemba 21, 2024, Bronx, New York, niching Marekani.
Kwa picha zaidi boya soma zaidi
Maakuli na mapochopochob vikiwa tagari

NY Ebra akijipakulia Chagula



No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake