RAIS SAMIA AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI MISUFINI BUMBWINI ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake