Friday, January 3, 2025

TANGAZO LA MSIBA



Ndugu Wanajumuiya,
Kwa masikitiko makubwa tunawatangazia kifo cha Mwanajumuia mwenzetu Bw. Kassim Abdul Bataringaya aliyefariki siku ya leo jijini Jacksonville, Florida.

Marehemu Kassim alikuwa ni mkazi wa Atlanta, Georgia na alikuwa Jacksonville kikazi. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa dada wa marehemu Bi. Salima Bataringaya (Townsend) huko Atlanta katika anuani ifuatayo;

2750 Lake Park Rdg West, Acworth, GA 30101

Kwa salamu za pole wafiwa wanapatikana katika namba ifuatayo:

Salima Bataringaya (Townsend) - 678 559 8676

Ntimi Kirumbi - 678 469 6618

Kwa salamu za rambirambi za pole tafadhali tumia njia zifuatazo.

Salima Townsend

Bank of America
Account# 334060452828

Routing# 061000052

Zelle: Alma Townsend 404 955 3315

Cashapp: $Alma2702

Tafadhali jiunge na group la Whatsapp kupitia link hii https://chat.whatsapp.com/JuicsTK9ugmHoyTvcSzCgR

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un,
Ahsanteni sana,

Familia ya BATARINGAYA

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake