ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 16, 2025

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MSUMBIJI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kwenye ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 15 Februari, 2025.

No comments: