ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 20, 2025

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMEPOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA MISRI, IKULU NDOGO YA TUNGUU ZANZIBAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri Mhe. Badr Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ( Minister of Foreign Affairs, Emigration and Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt ), tarehe 20 Machi, 2025, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri Mhe. Badr Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ( Minister of Foreign Affairs, Emigration and Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt ), tarehe 20 Machi, 2025, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe kutoka kwa Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri Mhe. Badr Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ( Minister of Foreign Affairs, Emigration and Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt ), tarehe 20 Machi, 2025, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri Mhe. Badr Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ( Minister of Foreign Affairs, Emigration and Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt ), tarehe 20 Machi, 2025, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

No comments: