MWANAMKE Mmoja ambaye aligoma kutaja jina lake,leo mchana aliwashangaza wananchi wa maeneo ya Mji Mpya mkoani hapa kufuatioa kitendo chake cha kumtembeza mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na umri wa mwaka mmoja kichwa chini miguu juu na kukatiza naye katika mitaa ya kata hiyo. Paparazi wetu alipomuuliza kama mtoto huyo ni wake ama yeye ni yaya tu, msichna huyo aligoma kujibu maswali na kuendelea kumpa mateso mtoto huyo ya kumtembeza kichwa chini.
PICHA: Dastun Shekidele/GPL Moro
No comments:
Post a Comment