ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 15, 2010

Dr. Slaa aunguruma Musoma

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akihutubia mkutano wahadhara wa kampeni, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mukendo mjini Musoma(picha kwa hisani ya Global Publishers)

No comments: