Daniel Mjema, Same
WAKATI joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda, matukio ya ajabu yanazidi baada ya mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete kuamua kutumia helikopta tatu kwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro kukampeni katika jitihada za kufikia maeneo mengi.

Kikwete, ambaye ameanza ziara yake mkoani Kilimanjaro jana, alitumia idadi hiyo ya helkopta tofauti na awali alipokuwa akitumia helikopta mbili na magari, ingawa kabla alikuwa akitumia helikopta moja ambayo iliharibika.
Akianza kampeni kwenye mkoa ambao unaonekana kuwa na upinzani mkubwa dhidi ya CCM, Kikwete alitua kwenye Kijiji cha Ndungu kwenye Jimbo la Same Mashariki saa 7:20 mchana akiwa kwenye moja ya helkopta tatu za msafara wake wa angan
No comments:
Post a Comment