Dj David wa MN na Mpwa wakutana mitaa ya New York
Mpwa akiwa kwenye jengo la Magazeti maarufu kama jina linavyoonekana kwa nyuma
Mpwa akiwa na shabiki wa VIJIMAMBO kutoka Porto Rico kwenye U-kodak moment
Nikishangaa na jengo lisilokua ma madirisho,haya tena ndio New York
juu na chini ni vikwangua anga hivyo New York
Juu na chini ni Jersey City unavyoonekana kutoka New York na hayo maji ni mto wa Hudson unaotenganisha miji hiyo
Mitaa ya New York pilika pilika mpaka asubuhi watu hawalali
Hili ndio jumba la APOLLO ambalo lina historia ndefu sana hasa kuhusu wanamuziki wa Marekani wengi wamepitia hapa kabla hawajawa maarufu
1 comment:
Great stuff Brother.
Thanx for sharing.
Blessings
Post a Comment