ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 24, 2010

Majibu ya comments ya Bendera kukaa chini

Wadau,VIJIMAMBO leo iliweka picha hii ambayo wadau waliuliza sheria inasemaje kwa Bendera ya Taifa kukaa chini.
Hii kwenye picha si Bendera ni kitambaa chenye rangi za Bendera ya Nchi ambayo ni sawa sawa na kuvaa kaptula yenye rangi ya Bendera unapo kaa chini sio kwamba umeweka bendera chini au unapovaa kandambili zenye rangi ya Bendera tena unaingia  nazo chooni sio kwamba umweweka Bendera chini hizo ni rangi ya Bendera.
Ni kweli kabisa Bendera inapokua kwenye mlingoti ndipo huitwa Bendera na hairuhusiwi kugusa chini,kugusa chini maana yake unaashiria kushindwa na ndio maana unapopigana vita ukishakomboa mahala fulani unapandisha Bendera juu kwa kuashiria ushindi,Mpwa

No comments: